Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – KIGAMBONI KIBADA 🏡
✨ Nyumba nzuri na ya kisasa inapangishwa eneo la Kibada, Kigamboni.
✅ Chumba 1 cha kulala (Master Bedroom)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko jipya na zuri
✅ Maji ya bomba yanapatikana
✅ Umeme wa LUKU (unajitegemea)
✅ Ipo ndani ya fensi salama
✅ Mazingira tulivu na rafiki
💰 Kodi: TSh 300,000 kwa mwezi
📍 Eneo zuri lenye miundombinu rafiki na usafiri wa uhakika.
📞 Wahi kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga muda wa kuitembelea nyumba.
#NyumbaInapangishwa #KigamboniKibada #KibadaHomes #HouseForRent #NyumbaYaKodi DalaliKigamboni KigamboniRentals DarEsSalaamHomes MasterBedroom NyumbaNzuri RealEstateTanzania RentalHouse KigamboniProperty NyumbaBora HouseHuntingTanzania 🏡✨dalalisimbakisiwani















