Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Fan City, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 200,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master sebule najiko bei 200 location kigamboni fan city umeme inajitegemea pia maji inajitegemea kalibu sana kigamboni fan city bila kusahau pesa ya dalali rasi nimwenzi mmoja pia kuna SEVIC CHAG 20 kalibu sana. Nipigie















