Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Ferry, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Kali zinapatikana kigamboni
loc kigamboni ferry
✅Chumba master Seble na jiko
✅Nyumba ni mpyaa
✅Nyumba ipo kalibu na barabarani
✅Nyumba Ina fensi
✅Nyumba Ina parking
✅Nyumba Kali sana
~> askkng price 400k per month
malipo miez 6
dalali mwez mmoja
~€ service charger 20k
☎️
☎️
✅kalibuni kigamboni















