Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
CLASSIC HOUSE FOR RENT – KIGAMBONI KISOTA 🏡
✨ Chumba 1 Master
✨ Sebule ya kisasa
✨ Jiko zuri na lenye nafasi
✨ Full Air Condition (A/C)
✨ Kabati la nguo tayari
✨ Ndani ya fence
✨ Mazingira tulivu na salama
✨ Maji na umeme vinapatikana kwa uhakika
📍 Kigamboni – Kisota
💰 Kodi: TZS 400,000 tu kwa mwezi
📞 Call & WhatsApp: +225746407197
“Pata makazi ya kisasa, salama na yenye utulivu kwa bei nafuu.”
#NyumbaInapangishwa #KigamboniKisota #HouseForRent #KigamboniHomes #DarEsSalaam ApartmentForRent RentalHouse DalaliKigamboni RealEstateTanzania HouseHuntingdalalikigambonikisiwani















