Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam


Kigamboni, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 350,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
#Nyumba za kupanga Kigamboni Dsm Tz ✅Chumba Master Sebule na Jiko Location Exactly—Kigamboni Kisota Umeme luku ya kujitegemea—Electric fence—Maji ya kisima— Mlinzi Masai / Karibu sana na lami 💰💰💰Kodi 350k miezi 6 ☎️ Dalali Mziwanda Service charge/ Viewing charge ni 30k kama hutolipia Malipo ya dalali ni sawa na kodi ya mwezi mmoja Tunakupeleka kwenye nyumba ya ndoto zako















