Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 180,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Bafu

1

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

Maji
Umeme
Jiko
Parking Space
Luku Inajitegemea
Karibu na Stendi ya Mabasi

Maelezo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ MASTER BED ROOM YA KISASA โ€“ KIMARA MWISHO

๐Ÿ“ Eneo: Kimara Mwisho
๐Ÿ•’ Umbali: Km 1 kutoka stendi ya mwendo kasi. Usafiri wa bodaboda Tsh 1,000 tu, au dakika 12 kwa miguu. Pia unaweza kupita kupitia Kimara Korogwe.

๐Ÿ  SIFA ZA NYUMBA:
๐Ÿ”น Chumba kimoja (Master Bedroom) kikubwa sana
๐Ÿ”น Jiko zuri na la kisasa
๐Ÿ”น Umeme & Maji (Submeter yake binafsi)
๐Ÿ”น Maji yanapatikana masaa 24/7
๐Ÿ”น Fensi hamna & Parking kubwa na salama.

GHARAMA:
๐Ÿ”ธ Kodi: Tsh 180,000 ร— 6 (Miezi sita)
๐Ÿ”ธ Malipo ya dalali: Tsh 180,000
๐Ÿ”ธ Service charge: Tsh 15,000

๐Ÿ“ž #Piga_simu๐Ÿ‘‡
0740747383

#please #Follow_us ๐Ÿ™
Karibu Sana Mteja! ๐Ÿ˜Š