Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
10km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
===============
nyumba mpya
Ni chumba sebule na choo ndani na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
=============
kwa mwezi ni kodi ya laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 5
0713661530_0783661530















