Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master na jiko
Mpyaaa wahi uzindue mwenyewe
Ipo kimara mwisho upande wa kushoto kama unaenda mbez
Km1.8 tuu kutoka mwendokas usafili bajaji daladala boda
Kod 150000 x3 tuu
Galama za kupelekwa kuona 20k ukilipia utatoa mwez kwa dalali















