Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam
Kimara, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 250,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
6min
Huduma na Sifa
Maelezo
kodi 250,000 ร 3) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐ง๐ข๐ฃ ๐ข๐ฉ๐๐ฅ
Chumba kikubwa
Sebule kubwa
Jiko zuri
Choo kizuri ndani
Maji yanaflow ndani
Luku unajitegemea
Ipo dakika 6 Kwa miguu kutoka kituoni
Boda 1000
Ndani ya fensi isiolaza gari
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
simu 0659336751 wsp 0786085637















