Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam









Kimara, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 200,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
——
#Inapangishwa KIMARA TEMBONI, Umbali wa KM 2 kutoka kituoni, Usafiri bajaji 1,000/=
★Kodi 200,000/= *3 (Lipia hata Miez mitatu)
★Dalali 200,000/=
★Kupelekwa kuona 20,000/=
0753172516
___
_
• Sebule Kubwa
• Chumba Mastar
* Inajitegemea umeme na Maji
* Ndani ya Fensi
* Haina parking
0753172516















