Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000/month

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

Location kisiwani

Nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko nzuri

Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ina makabati jikoni

Asking price 300k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

Umeme luku yako
Maji unajitegemea
Services’s charge Elfu ishilini

Mawasiliano
0628505896
0763954837