Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
MASTER BEDROOM, SEBULE NA JIKO - 600k, (Full Ac)
Furahia Maisha Bora Makumbusho
Maelezo ya Nyumba
• Master Bedroom
• Sebule kubwa
• Jiko kubwa lenye makabati
• Nyumba ipo karibu na Lami
• Umeme unajitegemea
• Kwenye compound zipo 3
Bei na Masharti
• Kodi: 600,000 kwa mwezi
• Malipo: Miezi 6
Gharama za Ziada
• Service charge: 30,000 Tsh (inalipwa mara moja tu)
• Commission ya dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Mahali
Makumbusho
Kwa Mawasiliano Zaidi
• WhatsApp/Piga Simu: +255 692 932 076
Njoo ujionee nyumba nzuri na upate maisha bora karibu na Mjini















