Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Bichi, Dar Es Salaam
Mbezi, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 200,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko
Luku ya pekeyako
Maji mita yako pekeyako kod sh laki 2
Ilipo njia ya mbezi bichi kituo ni sicansica kituo kipya umbali ni dakika 9 kwamiguu kutembea tuu
#















