Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mikocheni A, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
MASTER BEDROOM, SEBULE NA JIKO - 700k, (Full Ac)
Furahia Maisha Bora Mikocheni A, Rose Garden
Maelezo ya Nyumba
• Master Bedroom kubwa
• Sebule kubwa
• Jiko kubwa lenye makabati
• Nyumba ipo karibu na Lami
• Umeme unajitegemea
• usafi, Ulinzi na Taka ni bure
Bei na Masharti
• Kodi: 700,000 kwa mwezi
• Malipo: Miezi 6
Gharama za Ziada
• Service charge: 30,000 Tsh (inalipwa mara moja tu)
• Commission ya dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Mahali
Mikocheni A. (Rose Garden)
Kwa Mawasiliano Zaidi
• WhatsApp/Piga Simu: +255 692 932 076
Njoo ujionee nyumba nzuri na upate maisha bora karibu na Mjini















