Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mipango Modern, Dodoma


Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
3km — Arusha Road
Huduma na Sifa
Maelezo
CHUMBA MASTER, SEBULE, DH NA JIKO INAPANGISHWA
Mahali:Dodoma Mipango Modern
Bei:350,000/=
Malipo:Miezi 6
✅Nyumba Ni Mpya Wa Kwanza Kuishi Ww Mwenyewe
✅Wapangaji Wachache Sana Wa Tatu Tu Ndani Ya Fensi Moja
✅Unajitegemea Maji Na Umeme
✅Full Ac,Heater(Maji Moto Chooni)
✅Kuna Dinnig Hall Ya Kulia Chakula
✅Nyumba Ina Vyumba Vikubwa Sana Na Getin Kuna Electrical Bell
✅Umbali Kutoka Arusha Road Ni 3KM Boda Boda 1,500/=
💰Gharama Za Kwenda Kuoneshwa Ni Tsh.15,000/=(Itadumu Mpaka Pale Utakapo Pata Chumba)
💣Bila Kusahau Malipo Ya Dalali Ambayo Atalipa Mteja.
Whatsapp Number/Call
0629251784
NAPATIKANA DODOMA MJINI PIGA SIMU TUFIKE SITE TAJIRI.
#ikulumawasiliano #dodoma #tanzania #viral_video #trendingvideo















