Tafuta

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 180,000/month

Maelezo

🇹🇿 APARTMENT NZURI SANA NA SAFI INAPANGISHWA KIMARA - SUKA

📍 Kimara suka .
🕒 2.5km umbali kutoka stand ya mwendo kasi, usafili bajaji/bodaboda zipo muda wote.

#SIFA ZA NYUMBA

🔸 Chumba kimoja (Master Bedroom) kikubwa sana
🔸Sebule kubwa
🔸 Jiko zuri na la kisasa
🔸 Umeme & Maji (Submeter yake binafsi)
🔸 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7hrs
🔸 Fensi hamna & Parking kubwa na salama.

TAARIFA MUHIMU: Kodi ni Tsh 180,000/= kwa MWEZI, na malipo yanaanzia miezi 3 tu.

GHARAMA
🔹 Kodi Tsh 180,000/= × (Miezi mitatu)

Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba

Mawasiliano 0656623510

WSP 0752436347

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment