Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kisota, Dar Es Salaam
Kisota, Dar es Salaam
2 months ago
Sh. 320,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
location kisota
nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko nzuri
◾️nyumba iko fenced
◾️nyumba ina parking
◾️nyumba ina electric ⚡️
◾️nyumba ni apartment
asking price 320k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
◾️Umeme luku yako
◾️maji unajitegemea
◾️services charge Elfu ishilini
◾️mawasiliano
✅
✅















