Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale Flamingo, Dar Es Salaam

Madale, Dar Es Salaam
7 hours ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Jiko
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Apartment mpya Kali Sana zinapangishwa:
Chumba sebule Choo na jiko
Kodi - laki 3 Kwa mwezi kuanzia miez 6
Location - madale flamingo
Km 1 kutoka lami
Karibuni
0682 402 327 ๐ถ
0653 267 999 ๐ถ ya WHATSSAP















