Tafuta

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside Kibangu, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 400,000/month

Maelezo

Apartment house for Rent za Kisasa nzuri

Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road

Kodi 400,000/=×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1
Service Charge 20,000/=

Sifa zake :-
============
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko Kubwa lenye Makabati
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Good Environment

NB Nyumba hii itaku wazi Weekend hii

Bila Kusahau hela ya Tahadhari Caution Money Mwezi 1

Piga sim Kwa Maelezo zaidi

0712528820
0685221354

Mr.

Matangazo mengine Ubungo, Dar Es Salaam