Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 250,000

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Maelezo

🇹🇿 #NEW APARTMENT INAPANGISHWA#
➖➖➖➖➖

📍Eneo: Kimara Korogwe
🕗 Umbali: Dakika 3 tu kwa mguu kutoka Stand ya Mwendo Kasi, jirani kabisa na barabara.

🏡#SIFA ZAKE

🔹 Chumba kimoja Master kikubwa
🔹 Sebule kubwa
🔹 Jiko kubwa nzuri sana
🔹 Umeme & Maji – Inajitegemea
🔹 Maji yanapatikana ndani Reserve Tank Yako Dawasa 24/7
🔹 Fensi hamna & Packing kubwa sana
👉 Nyumba ni MPYA, iko tayari kuhamia kuanzia tarehe 21/12/2025
👉 Kuona nyumba na kufanya malipo kunaruhusiwa

#GHARAMA

🌲 Kodi: Tsh 250,000/= × 6 (miezi sita)
🌲 Malipo ya Dalali: Tsh 250,000/=
🌲 Service Charge: Tsh 20,000/=
🤫 Nakuibia siri mteja — maongezi kidogo yapo .
#Piga_simu👇
O740747383

#📞 . &Whatsapp

us🙏

Karibu Sana Mteja😁