Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 600,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Uzio
Parking Space
Jiko
Karibu na Stendi ya Mabasi
Mpya

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

<> location kibada stand

<> nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule na jiko mpya

✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ni apartment
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba Nzuri na safi

<> asking price tsh,, 600k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

<> services charge 20k zingatia utalatibu

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837