Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kisota, Dar Es Salaam

Kisota, Dar es Salaam
2 days ago
Sh. 550,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kisota
Nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule na jiko mpya kali apartment
nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
<> asking price 550k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
umeme luku yako
maji inajitegemea
Services Charge elfu ishilini
Mawasiliano
0628505896
0763954837















