Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale Sheratoni, Dar Es Salaam









Maelezo
🏡 2-Bedroom Apartment for Rent – TZS 750,000 📌 Full Ac ✨ Furahia maisha mazuri Madale Sheratoni katika apartment yenye huduma za kipekee! ✨ 📌 Maelezo ya Nyumba: ✅ Vyumba 2 (1 Master) ✅ Sebule kubwa ✅ Jiko zuri lenye makabati ✅ Public Toilet ✅ Makabati kwenye vyumba 📍 Mahali: 📌 Madale sheratoni– Nyumba kali sana Huduma Nyingine: ✔ Parking Available ✔ Full AC ✔ Heater available ✔️ Security 24/7 💰 Masharti ya Malipo: 📌 Kodi: TZS 750,000 kwa mwezi 📌 Malipo: Miezi 6 💰 Gharama Nyingine: 🔹 Service charge: TZS 30,000 (inalipwa mara moja tu) 🔹 Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja 📞 Kwa mawasiliano zaidi: 📲 Piga/WhatsApp: +255692932076















