Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach-Goba Road, Dar Es Salaam

Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
27 days ago
Sh. 500,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Huduma na Sifa
Maji
Parking Space
Uzio
Paving Blocks
Sebule
Jiko
Maelezo
Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach-Goba Road
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 5
Karibu Sana Na Lami
☑️Ni Kubwa Ya Kifamilia
☑️Vyumba 2, Vyote Ni Master, Sebule, Jiko Na Choo
☑️Umeme Na Maji Reserve Tank Unajitegemea
☑️Fensi & Paved Parking Ya Kutosha
☑️Usalama,
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Calls & Whatsapp: 0718 759287
Call: 0685 006223
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
