Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Massana, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,200,000/month

Maelezo

INAPANGISHWA
APARTMENT-MBEZI BEACH MASSANA
DAR ES SALAAM
Kodi: Tsh MIL 1,200,000/= kwa mwezi
* Sifa za nyumba:
Vyumba 2 vikubwa vya kulala (kimoja ni
Master)
• Sebule kubwa na Jiko lenye makabati
• Bafu la ndani na la public
• Gypsum, Tiles, na Windows za Slides
• Umeme wa Luku binafsi
• Maji ya bomba saa 24
• Parking space ipo
• Nje imepangwa kwa Paving blocks
• Nyumba imezungushiwa uzio (Fenced)
Wasiliana nami
Dalali mbezibeach _rahimu
Contact 0788002802
WhatsApp 0788783636
Karibuni sana wateja wangu 🙏🙏

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku ya Ku-share

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Sh. 2,200,000/month

  • Air Conditioning

  • Dining

  • Jiko

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000/month

  • Air Conditioning

  • Jiko

  • Makabati ya Jiko

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Massana, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000/month

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • AirBnb

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Shopas, Dar Es Salaam

Sh. 900,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Shopas, Dar Es Salaam

Sh. 900,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam

Sh. 550,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea