Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Kifuru King'azi kwa Godolo, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 200,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Parking Space
Paving Blocks
Tanki la Maji
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Sebule

Maelezo

Hii apartment nzuri sana na mpya inapangishwa bei 200000 kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, jiko, public toilet, umeme na maji unajitegemea, parking, peving block, reserve water tank, ni maeneo ya tabata kinyerezi kifuru king'azi kwa godolo dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii