Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ukonga kwa diwani, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Air Conditioning
Parking Space
Uzio
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Dining

Maelezo

Apartment Kali sana narudia Kali sana inapngishwa 300x3 tuuu nyumba no mpyaaaaaaa
Ziko mbili tuu ndani ya fanc
Maji UMEME inajitegemea
Full A/C
Full parking space
Get security
Vyoo ni ni vyaki Sasa full shower
Jiko kubwa na laki sasa
Vyumba ni viwili kimoja master
Dining room sebule
Milango ya chooni inafungwa Leo
Ukilipia Leo unaweza kuamia hata Leo Leo

Location Ukonga kwa diwani
Nyumba Iko bara barani kabisa
Service charge 25k