Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni Mikwambe, Dar Es Salaam (700 sqm)

Aina
Apartment
Vyumba
2
Ukubwa
700 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 BIG OFFER 🔥
🏢 APARTMENT ZA BIASHARA ZINAUZWA – KIGAMBONI MIKWAMBE
Unatafuta uwekezaji wenye uhakika wa kipato? Hii ni nafasi yako!
🔹 Maelezo ya Apartment:
• Jumla ya apartment: 5
• Vyumba viwili: 2
• Chumba master: 2
• Chumba master + sebule + jiko: 1
📐 Ukubwa wa eneo: SQM 700
📄 Hati: Serikali ya Mtaa
💰 Bei: Milioni 130 TSH (maongezi yapo)
✅ Inafaa kwa kupangisha (mapato ya kila mwezi)
✅ Eneo tulivu na linaendelea kukua kwa kasi
✅ Uwekezaji mzuri kwa muda mfupi na mrefu
📞 0769-554-221
#trendingvideos #tanzania🇹🇿 #istagram #realestateforsale #trendingaudio














