Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 600,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea

Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko, dinning, public toilet, umeme na maji unajitegemea. Paving na parking ipo.
Maji 24/7.
Wapangaji 4.

Kodi 600,000/=.

Muhitaji piga 0688 412 890.