Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

Huduma na Sifa

Maelezo

400,000/= WAHI CHAP CHAP SIO ZAKUCHELEWA MIEZI 4

Vyumba Viwili(kimojamster)
Sebule
Jiko kubwa
Public toilet
Umeme na Maji unajitegemea dawasa

GOBA ROAD NJIAPANDA YA MAKABE

BAJAJI 1000 TU KUTOKA LAMI

Survey Charge ni 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena

ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba

O677370515 whatsapp number
O688991244 NORMAL CALL