Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 700,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Fence ya Umeme
Geti la Remote
Parking Space
Dining
Jiko
Sebule

Maelezo

Video ya zamani kidogo ila nyumba kali mnoo

Vyumba viwili vikubwa,sebule kubwa, dinning na jiko

Bei 700k

Ipo Goba njia ya makongo kituo braggin social hall)

Wapangaji sita

Electric fense, remote gate & parking kubwa

📞📞 0748403079