Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Maelezo
🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – KIGAMBONI KISIWANI 🏡
✨ Nyumba nzuri, ya kisasa na yenye nafasi kubwa inapangishwa kwa bei nafuu.
✅ Vyumba 2 vya kulala (Kimoja Master)
✅ Sebule kubwa
✅ Dining room
✅ Jiko zuri la kisasa
✅ Maji yanapatikana muda wote
✅ Umeme wa LUKU
✅ Mazingira tulivu na salama
💰 Kodi: Chini ya TSh 1,000,000 kwa mwezi
📍 Ipo Kigamboni Kisiwani, eneo zuri lenye huduma muhimu karibu.
📞 Wahi kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuitembelea nyumba.
#NyumbaInapangishwa #KigamboniKisiwani #HouseForRent #KigamboniHomes #NyumbaYaKodi DalaliKigamboni MasterBedroom TwoBedrooms DiningRoom ModernHouse RealEstateTanzania KigamboniRentals DarEsSalaamHomes NyumbaNzuri RentalHouse HouseHunting KigamboniProperty 🏡✨dalalisimbakisiwani















