Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
kimara korogwe
upande wa kushoto kutoka mjini
vyumba viwili kimoja master Sebule Jiko Public toilet
ndani ya Fensi Parking ipo
inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani ina reserve tenks
Kodi 600,000 ×6
survey charge 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
##0688617926
##0655256419















