Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 400,000/month

Huduma na Sifa

Umeme
Luku Inajitegemea
Maji
Uzio
New Construction
In A Compound

Maelezo

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ZIPO NA BAJAJI ZIPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA

SIFA YA NYUMBA
==============

nyumba mpya Ni vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master na jiko zuri ndani ina sebule kubwa sana
Inajitegemea umeme na maji nyumba hii ipo ndani ya fensi bado kumalizia tu
Pia mafundi wapo wanaendelea na kazi hadi ikamilike

KODI YA NYUMBA
=============

kwa mwezi ni kodi ya laki nne tuu/=

(400,000)

X 6
CALL

Upendo Tarimo

dalali_tarimo_ubungo_kimara

@dalali_tarimo_ubungo_kimara

View Listings
Upendo Tarimo