Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Stopover, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1km — Morogoro Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
(350,000X6)KIMARA STOPOVER 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD,BODA ELF MOJA
_____
🏠 Vyumba Viwili + Seble Kubwa + Jiko + Choo
📍 KIMARA STOPOVER
💰 350K tu kwa mwezi
Vyumba VIWILI
✨ Seble kubwa na nafasi ya kutosha
jiko
choo cha public ndani
⚡ Umeme mita yako
💧 Maji mita yako
🛣️ Lami hadi mlangoni
🚌 Dakika 20 tu toka Mwendokasi
🌟 Mazingira mazuri sana na salama
📞 Wahi mapema kabla haijachukuliwa!
______
KUPELEKWA KUONA ELF 20
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
_____
CONTACT US:
0662715781
0790480030















