Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 700,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Bafu

1

Huduma na Sifa

Mita ya Maji Inajitegemea
Luku Inajitegemea
Paving Blocks
Uzio
Public Toilet
Kitchen Cabinets

Maelezo

🏑 NYUMBA YA VYUMBA VIWILI INAPANGISHWA – KINYEREZI KIBAGA 🏑

Unatafuta nyumba nzuri, salama na yenye mazingira tulivu?
Hii hapa fursa nzuri maeneo ya Kinyerezi Kibaga, takribani dakika 5 kutoka kituoni ✨

βœ… Vyumba 2 vya kulala
πŸ›οΈ Chumba 1 ni Master
πŸ›‹οΈ Sebule nzuri
🍳 Jiko lenye makabati
🚻 Choo cha public kwa wageni
🏑 Ndani ya fence
πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ Wapangaji ni wawili tu
πŸš— Paving ipo
πŸ” Usalama upo wa kutosha
πŸ’§ Maji na umeme vinajitegemea

πŸ’° Kodi: TSh 700,000/= kwa mwezi
🀝 Udalali: Sawa na kodi ya mwezi mmoja
🧾 Service charge 20,000
06595O7709

Tafuta unachotaka Kinyerezi, Ilala, Dar Es Salaam