Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mapinga, Pwani

 media -1
media -1
media -3
Sh. 300,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Maji
Luku Inajitegemea
Sebule
Dining
Jiko
Inajitegemea

Maelezo

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Mapinga

Ina Vyumba Viwili vya kulala,kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.

Umeme wa Luku
Dawasa

Bei ni laki 300.000

Gharama ya kuona
20,000

Wasiliana nami
0718 809 744