Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mwanza

Huduma na Sifa
Maelezo
Inapangishwa 330K/mwezi🔥
⭐Vyumba viwili, sebule, jiko na store
⭐Chumba Kimoja ni self na heater
⭐Umeme na maji unajitegemea
⭐Fenced & Car Parking
⭐Price million 4 kwa mwaka
⭐️Malipo kuanzia miezi 6
⭐For more information contact us 👇
Call or WhatsApp 0678 930 126
IN GOD WE TRUST















