Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Nyamhongolo, Mwanza

Nyamhongolo, Ilemela, Mwanza
28 days ago
Sh. 230,000/month
Maelezo
🗣INA PANGISHWA NYAMHONGOLO
👉Vyumba viwili vyakulala
👉Vyumba vyote ni master
👉jiko na sebule kubwa
👉umeme na maji
👉ina jitegemea kwenye fensi
Kwa mwezi 230k
Malipo kuazia menzi mitatu
Phone:0765430905

