Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Salasala Kilimahewa, Dar Es Salaam

Maelezo
Nyumba Mpya kabisa Muundo yenye vyumba vi2 vya kulala kimoja master bedroom sebule kubwa jiko zuri lenye makabati inafungwa AIC 2 kwenye Master na Sebuleni Maji na Umeme unajitegemea mwenyewe Ina pangishwa Kwa Laki-7 Kwa mwezi Location salasala kilimahewa Call+255679188061/+255745627564.















