Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa Ipo temboni mkono wakulia kama unaelekea mbezi
Umbali km/ 2 usafiri bajaji buku hukishuka unapigateke geti pia boda buku
Inavyumba viwili vyakulala kimoja mastar Inasebule sehemu yakupikia kubwa napablick toilet
Inatiles gupsam madirisha shata
Inajitegemea umeme pia Ipo ndani yafensi
Kodi 300x6
Kuonanyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Call
0713 320 608
0686 334 182















