Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

Maelezo

Vyumba viwili vyakulala kimoja mastar sebule wastan jiko napablick toilet

Inajitegemea umeme maji

Ndani ya fensi full peving block

Ipo temboni kulia kama unaelekea mbezi

Km/ 2.5 usafiri bajaji buku ukishuka dk 6

Kodi 350x3

Kuonanyumba elfu 20

Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba

Call me
0713 320 608
0686 334 182

Matangazo mengine Temboni, Dar es Salaam