Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

NYUMBA MPYA,VYUMBA 2,TSHS.55 MILIONI,KIBADA/KIGAMBONI.

KiwanjakinaukubwawaSQM. 450.
UmilikiniMKATABAWAMAUZIANO.

Ina vya kulala 2 (Masta 1)
Pia Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________ery