Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam (500 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
2
Ukubwa
500 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡✨ NYUMBA 2 ZINAUZWA – GOBA KULANGWA (Madale Road) ✨🏡
Unatafuta nyumba ya kuishi au uwekezaji wa uhakika wa biashara ya upangishaji? Hii ni nafasi yako!
🔹 Nyumba Kubwa:
• Vyumba 2 vya kulala (vyote Master Bedroom)
• Sebule kubwa na ya kisasa
• Jiko
🔹 Nyumba Ndogo (Units 2):
• Kila moja ina chumba, sebule na choo
🔹 Miundombinu:
• Imezungushiwa fence
• Eneo limewekwa paving blocks
• Parking kubwa ya kutosha
📄 Nyaraka: Upimaji
📏 Ukubwa wa eneo: Sqm 500
📍 Location: Goba Kulangwa – Madale Road
💰 Bei: Tsh Milioni 160
⚠️ Fanya kazi na madalali wanaotambulika kisheria ili kuepuka matapeli.
🏢 Ofisi zetu zipo nyuma ya SkyCity Mall
📞 Wasiliana nasi: 0787 705 274
🙏🏽 Karibu sana boss, fanya uwekezaji sahihi leo















