Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Sananee Machimbo, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 23,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Bafu

1

Huduma na Sifa

Umeme
Sebule
Public Toilet

Maelezo

NJOO UOKOTE!!!

🏠 NYUMBA INAUZWA – TABATA SANANEE MACHIMBO

Unatafuta nyumba ya kuishi au uwekezaji wa kupangisha? Hii hapa fursa murua!

📍 Location: Tabata Sananee Machimbo
💰 Bei: Milioni 23 tu (maongezi yapo kidogo kwa mteja makini)

Sifa za Nyumba:

✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Sebule
✅ Choo cha nje
✅ Umeme upo tayari
✅ Nyumba ya kisasa
✅ Tayari kwa kuhamia mara moja

💡 Unaweza kubadilisha mpangilio kulingana na mahitaji yako:
• Kuweka open kitchen ndani ya sebule
• Kubadili chumba kimoja kuwa jiko
• Kubaki na chumba kimoja cha kulala

Inafaa kwa:
🏡 Makazi binafsi
💼 Biashara ya kupangisha

Hii ni nyumba ya kuchukua mapema, si ya kuacha!

📞 Piga simu sasa tufanye biashara.
Dalali wako Wakishua 🔑