Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

Nyumba Hii Inafaulishwa.Ni Apartment Kwenye Compound.Nyumba Ina Vyumba 2 Vya Kulala Master Jiko Sebule Na Public Toilet Inapangishwa Bei 350k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Mpangaji Anatoka Tarehe 16 Mwezi Huu.Kuona Na Kulipa Ruksa.

Muhitaji piga 0688 412 890.

Tafuta unachotaka Kinyerezi, Ilala, Dar Es Salaam