Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
(ZIPO NNE TU)

Location :: MADALE FLAMINGO Mita 100 toka lami

Bei yake :: 400,000 kwa mwezi

Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba Viwili (kimoja ni Masta)
🌡️Sebule
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️ Fully Airconditioned (Sebuleni & Chumbani)
🌡️Fence

Pia kuna chumba na sebule na jiko laki 2

Call/Whatsapp;
0652251725