Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam






Mbweni, Kinondoni, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 500,000
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Maelezo
Apartments zinapangishwa, zipo Mbweni Jkt
Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 500,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 7 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971
Karibuni sana
