Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 510,000/month

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 510,000/= × 6

ITAKUA WAZI NA KUANZIA TAREHE 10/05/2026

🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#PUBLIC TOILET
MTU WA GARDEN NA USAFI NA ULINZI UPO MASAA 24 NA VYOTE HIVYO NI BURE

BEI NI 510,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI MBILI NA NUSU

💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA

UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI

KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 TUU NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI 1

Contact:
0654 101710
0787 205300

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

  • Maji

  • Luku ya Ku-share

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

  • Maji

  • (Fence) Ukuta

  • Luku ya Ku-share