Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment Mpya Kali Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach Upande Wa Chini
Bei: 1,500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Bnb Ruksa
☑️Vyumba 2, Kimoja Master Sebule, Jiko Na Choo
☑️Unajitegemea Kila Kitu
☑️Fensi & Parking
☑️Full Ac Zinawekwa
☑️Reserve Tank & Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle















